Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Can't believe little finger ndo master plan asee.. never understimate oneYani mwingi sana yule mbwa...master plan. ..alimla mate lady sansa aiseee
Can't believe little finger ndo master plan asee.. never understimate oneYani mwingi sana yule mbwa...master plan. ..alimla mate lady sansa aiseee
Jofrey alikufa kifo cha kifala sana...kuna jamaa mnasahau na sijui kwanini mnasahauHata mimi ndio favourite wangu aliyebaki.. she's so brave n smart yaani. Namkubali na Jon snow pia..
Ila kifo cha Robb kiliniuma sana..Nilishangilia Jofery kufa..
Tyrion lannisters right?Jofrey alikufa kifo cha kifala sana...kuna jamaa mnasahau na sijui kwanini mnasahau
Yes this manJamaa naee mpuuzi sana
The dwarf Tryion lennisterTyrion lannisters right?
Nakakubali haka kashkaji.. kuna muvi yake ninayo inaitwa Find me Guilty kamecheza kama Ka Lawyer.Jamaa naee mpuuzi sana
Hahahaaa I'm guilty for being dwarfThe dwarf Tryion lennister
Kifupi lakini akili nyingi sanaJamaa naee mpuuzi sana
Wewe kweli kiboko kweli wewe mfuatiliaji...alimwambia mdingi wake hivyo wakati kanihisia na kifo cha jofreyHahahaaa I'm guilty for being dwarf
Can't believe little finger ndo master plan asee.. never understimate one
Hahahaaa yaani mm nikiona muvi nikaipenda hua nakariri dialogue yote..Wewe kweli kiboko kweli wewe mfuatiliaji...alimwambia mdingi wake hivyo wakati kanihisia na kifo cha jofrey
The imp once wanted to fly through the moon door
Hahahaaa umenikumbusha Venom anasema.. "So many snacks pancreas,Liver,lungs but so little time"Little finger anakuambia.
SO MANY MEN, THEY RISK SO LITTLE. THEY SPEND THEIR LIVES AVOIDING DANGER. AND THEN THEY DIE. I’D RISK EVERYTHING TO GET WHAT I WANT.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mkuu umenikumbusha yule fisi kweli vijana mnafuatilia kila segment hahahahaLittle finger anakuambia.
SO MANY MEN, THEY RISK SO LITTLE. THEY SPEND THEIR LIVES AVOIDING DANGER. AND THEN THEY DIE. I’D RISK EVERYTHING TO GET WHAT I WANT.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mkuu umenikumbusha yule fisi kweli vijana mnafuatilia kila segment hahahaha