JamiiForums Usiku wa manane
Poleeee sana..Ukitaja ma-Director walitengeneza muvi zenye mkwanja mingi
  1. Antony and Joe Rusdo (A.Endgame)
  2. James Cameron (Titanic &Avatar)
  3. J.J.Abrams (Star war. Force Awakens)
Steven Spielberg_ Jurassic pack ndo anayeongoza mpaka sasa akifuatiwa na Huyo wa endgame
 
Sio kweli Avanger Endgame ndio muvi iliyoingiza pesa ndefu kuliko muvi yoyote ile duniani...Baada ya kumtoa Avatar
Avatar kweli ndio inashikilia lakini hiyo Endgame sijui maana sikufuatilia ilanaona Joker ndio itavunja record ya Avatar.
 
Nasubiri hesabu isofanana na ya google hapa
Screenshot_20191213-011503.png
Screenshot_20191213-011503.png
 
Back
Top Bottom