JamiiForums Usiku wa manane
Niko mpweke ugenini jf ndio itaniondolea upweke naruhusu niulizwe swali lolote linalonihusu nitasema kweli tupu Kama halitakuwa na madhara ya utambulisho wangu ila nitajibu nusu au robo ya ukweli Kama nikilihisi sio swali salama karibuni
 
Hivi "OP" maanake official platnum member au?Nina miaka 8 JF wala sijui.
Screenshot_20191203-002349~2.jpeg
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Nawaombea wale wote wanao mkejeli mwalimu JK Nyerere kwa kukiuka taratibu ili Mungu awarejeshe kwenye msitari.
 
Na mimi naomba connection ili nibadilishe hii I'd maana inanikosesha mengi kwa wengi kudhani mimi ni ME
Hahahaaa hata mm nilikua najua ni me.. wasiliana na Uongozi
Kumbe ww Ke?
u have fooled us all, Ila bila shaka sasa huko pm Mambo ni
Kuna mwanamke mwenzio pia alinambia we ni ME
Leo ndo nimejua.. Why were you behaving like a man?
Ama kweli hili jina linanikosesha bahati katika hii jamii!
 
Niko mpweke ugenini jf ndio itaniondolea upweke naruhusu niulizwe swali lolote linalonihusu nitasema kweli tupu Kama halitakuwa na madhara ya utambulisho wangu ila nitajibu nusu au robo ya ukweli Kama nikilihisi sio swali salama karibuni
Umeenda kufanya nini ugenini?
Ni wapi huko uliko?
Utakaa huko kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom