Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,321
- 201,542
La Mwakinyo liwewakera sana watz pale hasa matokeo yake, nikama yalikuwa nikwaajili ya maslahi mapana ya taifa
Yeah, hakuna maigizo na AJ akija na hasira anapigika tenaNgoja tusubiri Ruiz na Aj 2 Mapambano ya ukweli
Yeah, hakuna maigizo na AJ akija na hasira anapigika tena
Niliona clip yake moja saizi hana minyama uzembe tena,ameimarika inaonyesha ametrain sana,ndiyo maana nikasema AJ asipokuwa makini atakaa tenaHahaha kibonge yupo vizuri sana

Ronny2010 msalimie Meegan Good![]()
Zimefika
Nachukua zamu04:03
Imalisheni lindo
Anajua sasa kama unamuelewa?The time is at hand and the time is now. Do what's needed to be done bro, chelewa chelewa hiyo usijeambiwa "why didn't tell me all that time? Am occupied now"😂😂😂Namuelewa sana huyo Raia ni vile Tu Duniani hakuna haki na usawa
Sawa mkuu just know that around me, she is full protected😊😊Sawa,mfikishe salama...
Hahahaha, malizia ngoja twende jumuia kisha tuzimueSeriously usingizi umekimbia na wahenga wajukwaa hawaonekani mahali hapa.
Nachukua zamu
Kuzimua lazima mkuu.Hahahaha, malizia ngoja twende jumuia kisha tuzimue