Na mimi nataka tuzo😉Denvers! Nakuandalia Tuzo yako....lindo linaimarika.
Mkuu oa sasa uachane na hizo movie [emoji6]Naona uvivu kuangalia.. nilikua nachek GOT nikashikwa na usingizi.. nataka kulala usingizi haupo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uswahilini raha sana!Salama kipenzi. Una sukari uniazime?
Maduka yameshafungwa huku kwetu.
Ndo ukubwa huo, sasa ni wakati wa kuwa na familia uachane na hayo ma-movie[emoji23]Ama kweli mambo yanabadirika.. leo hii saa 4 mm nasinzia ata muvi nashindwa tazama!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wewe umenichekesha kwani hizo nywele hazivunwi mpaka kuwe na mtoko?[emoji23][emoji23][emoji23] haki umenichekesha, kwani weekend una mtoko [emoji85]
Zaniliwaza baada ya kuachwa na AsteliaNdo ukubwa huo, sasa ni wakati wa kuwa na familia uachane na hayo ma-movie[emoji23]
Uvivu wa nini.?Uvivu uvivu tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni wivu tu (In Gwaji boy's voice)Haya matokeo ya Mwakinyo lazima CCM imehusika!! Dah