JamiiForums Usiku wa manane
MWAKINYO AMPIGA MFILIPINO KWA POINTI: Pambano la Raundi 10 limemalizika, ushindi ukienda kwa Mtanzania Hassan Mwakinyo akimpiga Arnel Tinampay kutoka nchini Ufilipino kwa pointi.

Jaji wa kwanza amtoa 97-93 , Jaji wa pili akatoa 98-92 na Jaji wa tatu akatoa 96-96.

Nimeamua kutembelea kwa miguu toka shamba la Bibi mpaka nyumbani kupinga hayo matokeo,walinzi mkiniona mniache tu
 
Heavy weight ndiyo tamu hizi za hawa jamaa hazinogi
 
ae08dac7-3041-4006-8516-fa0fa5174470.jpg
 
Back
Top Bottom