chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
.
Movie zimeisha?Usingizi umegoma
Hodii,kwa mara ya kwanza toka nijiunge nimengia huku
Safi wangu..Habari wangu?
Naona uvivu kuangalia.. nilikua nachek GOT nikashikwa na usingizi.. nataka kulala usingizi haupoMovie zimeisha?
Naona uvivu kuangalia.. nilikua nachek GOT nikashikwa na usingizi.. nataka kulala usingizi haupo
Jitahidi wangu kunibembeleza..Polee, utakuja tu, tatizo sijui kubembekeza.
Karibu, upo tayari kulinda?Hodii,kwa mara ya kwanza toka nijiunge nimengia huku
Ronny2010 come over here please. I feel lonely being here without you. Looking on the stars while whispering the song you like the most hoping wherever you're, unaisikia...![]()
Eeh yea..njoo kwahuku tuchil tukipigwa na upepo nakuiangalia miti iyumbavyo kwa upepo ikishangaa uwepo wetu mahali hapa. Au hutaki kuobserve muda pamoja nami? 😊😊Eeehh ....