Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,266
Ahaa, mambo ya final touch sio?Paper moja au zaidi ya moja?Nna mtihani kesho..eeh leo
Ahaa, mambo ya final touch sio?Paper moja au zaidi ya moja?Nna mtihani kesho..eeh leo
Ng'ombe ananenepea mnadani leo..sio hata faino tachi...Ahaa, mambo ya final touch sio?Paper moja au zaidi ya moja?
Bradha mwache mtoto wa shuleAhaa, mambo ya final touch sio?Paper moja au zaidi ya moja?
Haya, all the best.Ng'ombe ananenepea mnadani leo..sio hata faino tachi...
Class mate wangu huyo, ondoa shaka bro.Bradha mwache mtoto wa shule
Hayaa mi niwaache muendelee na msuli dekaClass mate wangu huyo, ondoa shaka bro.
Amyn, Amyn..AsanteHaya, all the best.
I hope you ll make it.
Kesho uje unipe mrejesho kama alinenepa au la😀!Amyn, Amyn..Asante
Bado mapema.. usiku wa manane ukifika watakuja
Lete maneno mkuuMmelala? Nahitaji msaada wenu, hili si jambo dogo
Hahaha...
Nikifika home nitasema natoka wapi?? Duh. Siku ya kufa nyani miti yote inateleza....
Yaani nimeamini ze weld aint fea aiseee. Kuna watu wanakoroma saa hizi, wengine ndio wanamalizia cha mwisho. Mimi Niko huku!! DahView attachment 1272785
Haya Twendeni kanisani
Dominika ya 30, Mwaka C
Somo la kwanza
Ybs 35 : 12-14, 16-19
Tumsifu Yesu ,Kristo