JamiiForums Usiku wa manane
Popo wapya humu km mm gonga like twende pamoja wazoef washazeeka wanasinzia tuu ndoa bhn
 
Bora akuache tu, khaaa unamwandiko mbaya kama bata.
demu wangu aliniaga anaenda kwa rafiki yake mchana saa iv ananitumia sms anasema anaenda nae club..nimemwambia harud nyumban asiende club kakataa anasema nimsamehe tu atarud kesho

usingizi wote umekata hapa
 
Back
Top Bottom