Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,659
Uko wapi nije?[emoji1320][emoji1320][emoji1320]Mko wapi? Naombeni nguvu mtaa huu nilipo
Uko wapi nije?[emoji1320][emoji1320][emoji1320]Mko wapi? Naombeni nguvu mtaa huu nilipo
Hahahaha, we janja janja unaweza usijeUko wapi nije?[emoji1320][emoji1320][emoji1320]
Huko si ndio mnakaba watuNjoo bondeni huku
Poa Mkuu, Kwema?
Bado mapema.. usiku wa manane ukifika watakujaOyoooooooo wana mko wapi??
Na kweli, nasubiria Jua lizameBado mapema.. usiku wa manane ukifika watakuja
Nipo ......
Kati ya wew na Ronny2010 nan ni dem maana siwaelew [emoji23][emoji23]Namrudisha demu wenu. Sioendi lawama mimi ni muungwana sana,cha mtu mavi.......
Usingizi umegoma?....
Nna mtihani kesho..eeh leoUsingizi umegoma?