Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
.
You passed what??? 😂😂😂
Haijawa tamu kama zile nyingineView attachment 1271739movie time
Ulishaiyona kumbe mm ndio nataka niipitie saizHaijawa tamu kama zile nyingine
Nacheki Jonathan Wick chapter 1View attachment 1271739movie time
😂😂😂 hiishagi utamu hiyo movie mzee anamwambia mwanae that fu*king nobody is John wick baba YAGA. mm nimeishia 2 tatu sijauiyona nazani week hii inabidi ni downloadNacheki Jonathan Wick chapter 1
Nimeiona juzi kati,yani ilipaswa kuwa na mikiki mingi ya secret service ,yani vitumike vifaa vingi vya kiusalama kuliko ma gunUlishaiyona kumbe mm ndio nataka niipitie saiz
Embu ngoja nipitie nione.Nimeiona juzi kati,yani ilipaswa kuwa na mikiki mingi ya secret service ,yani vitumike vifaa vingi vya kiusalama kuliko ma gun
Za kushinda?
Fanya urudi
Utulie sasa, sipendi ukiwa mbali nami.
Wadanganye wenzako tu.
Nishaondoka na Zurri leo.
Akiondoka nitakushtua
Hujui hata kudanganya,eti kama hunioni nikiandika hapa.
Kuwa ni mjumbe wa CHAPUTA
Unataka kulala nje leo?
Mmmh, OK ,basi sawaEehh hata mimi naona. Nimekosea njia
Hiyo Angel as fallen naipataje Mkuu, kiroho safiView attachment 1271739movie time
Njoo bondeni hukuMko wapi? Naombeni nguvu mtaa huu nilipo
Ya 3 ni nyoko na bado haija isha itakuja ya 4😂😂😂 hiishagi utamu hiyo movie mzee anamwambia mwanae that fu*king nobody is John wick baba YAGA. mm nimeishia 2 tatu sijauiyona nazani week hii inabidi ni download
Ni sequel ya London na Olympus has fallen?View attachment 1271739movie time
YeahNi sequel ya London na Olympus has fallen?
May 2021 kitu kinarudiNi sequel ya London na Olympus has fallen?
Fanya uicheki ni balaahiishagi utamu hiyo movie mzee anamwambia mwanae that fu*king nobody is John wick baba YAGA. mm nimeishia 2 tatu sijauiyona nazani week hii inabidi ni download