Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Na wewe nimekuchekesha?
Nashukuru
Nashukuru
[emoji23]akili zako unazijuaga mwenyewe
[emoji23]akili zako unazijuaga mwenyewe
Hivi bagia hupikwaje ?badilisha maswali, utabakia mwenyewe humu
Hivi bagia hupikwaje ?
Sawa. Nije lini ?Uje nikufundishe
Hivi kati ya masikio na pua kipi hufanya Miwani ikae mahala pake ?Uje nikufundishe
Sawa. Nije lini ?
Hivi kati ya masikio na pua kipi hufanya Miwani ikae mahala pake ?
Mia.Ukiamka
Ongeza sauti sikusikii,unasema ?
Hivi kati ya Yai na kuku kipi kilianza ?
[emoji23][emoji23][emoji23] Ndo uache kupania!Huu uzi siku ukiupania hukuti watu
Sijambo mzee mwenzangu!Hujambo
Nimejaa tele kama pishi la mchele.
Nimekumiss ujue [emoji6]
Akili yangu nyembamba haijajua methali...tafadhali nambie maana ya kauli yako hiyo[emoji1312]Utambi umemeza koroboi.Usiku mwema
Unaanza pindi unapohisi usingizi![emoji2212][emoji2212]Naomba kujua usiku wa manane huanzia saa ngapi?
KukuHivi kati ya Yai na kuku kipi kilianza ?
Kuku alianzaje mpaka akawepo ?Kuku
Shukrani mpendwa!Karibu