Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kama alivyoanza kuwepo Adam na sio mimbaKuku alianzaje mpaka akawepo ?
Kama alivyoanza kuwepo Adam na sio mimbaKuku alianzaje mpaka akawepo ?
☺️☺️Nimejaa tele kama pishi la mchele.
Nimekumiss ujue![]()
Uko vizuri bibie.Kama alivyoanza kuwepo Adam na sio mimba
@ThadNdo uache kupania!
Ndio RonnyNa wewe nimekuchekesha?
Nashukuru
MkuuUfafanuzi kidogo kaka,nipate kuelewa.
Sio nzuri ,maana sikuoni humu kabisa Mzee mwenzqnguSijambo mzee mwenzangu!
Za siku nyingi?
Bado kidogoMmelala sasa eeh
2:47AM
Walinzi amani uendelee kwenu..
Na nyinyi maligendi kokote mlipo..Nawakieni kheri kubwa.
RonnieBado kidogo