Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
HayaAmelipenda
Mbona unatumia I'd yenye mwaka 2010 ,what is so special about that year ?
HayaAmelipenda
Kwema mkuukwema humu?
mapopo siwaoni
naona wadau wachache leoKwema mkuu
Mvua zinazoendelea kunyeshanaona wadau wachache leo
Huu uzi siku ukiupania hukuti watuLucas Mobutu, Arlen wako wapi wengine? Siwaoni kwenye radar ya jf usiku wa manane/
Kwenye unga au!??Dah dunia haiko Fair kabisa yaani navyokuambia kuna mtu amepiga karibu tilioni 1.75t utamwambia nini
Hahaha ndoa haiimalishwi mkuuSwalaaaa swalaaaa ,hii sasa ndio mida ya vibaka, imalisheni ndoa na ulinzi
Hahahaha, inafanywaje mkuuHahaha ndoa haiimalishwi mkuu
Hapana si unajua mambo ya STRIGALAG George ya hifadhi ya Selou ile miti ya asiliKwenye unga au!??





