Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Hahahaha,wanapoteza points muhimuHang-over ya weekend watu wamepotea kabisa
Hahahaha,wanapoteza points muhimuHang-over ya weekend watu wamepotea kabisa
Poa, niambieMambo
Safi kabisa, tumebaki wenyewe walinzi waandamiziPoa, niambie
Itabidi tuwachongee wanaotegaSafi kabisa, tumebaki wenyewe walinzi waandamizi
Kafichwabbade simuoni humu siku hizi
Kabisa yaani,wanakula mshahara was bureItabidi tuwachongee wanaotega
Muda bado mkuuLindo liko kimya sana...
miaka 3
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
03:44Poweeeeeeeeeer
Ni saa ngp huko Ruangwa?
Walinzi tujuane jamani
Peoples
Poweeeeeeeeeer
Ni saa ngp huko Ruangwa?