Lundo lako unatumia mbinu za kizamani,badirisha kampuniKwelii wewe upo mamtoni
Hizi mvua matokeo yake ni mwakani mwezi wa 6.3:28AM
Kamvua kwa mbaaali
Nivae suti ama?Ewaa
Ukae kiti cha mbele nikuone
Angalia usisinzie na hicho kimvua maana ndio mida ya wezi kufanya yao...3:28AM
Kamvua kwa mbaaali
Mi niko macho nilikuwa nakucheki tu nyendo zako,utaenda huko wanakotengeneza watoto au utabaki kwenye lindo...Mnalala sana
3:28AM
Kamvua kwa mbaaali
Na wewe mbona upo huku badala ya kutengeneza watoto
Ahhhh!!Mi niko macho nilikuwa nakucheki tu nyendo zako,utaenda huko wanakotengeneza watoto au utabaki kwenye lindo...
Mpaka sasa hujui wavaa niniNivae suti ama?
HallelujahNsio hivyo,siku nyingine nitahakikisha naweka msingi mkubwa,halau nakijenga kwenye sehemu iliyopimwa vizuri.
Hii kampuni ni ya InterpolLundo lako unatumia mbinu za kizamani,badirisha kampuni
Aisee, umepata sasa?Natafuta wa kutengeneza naye hapa

Naona umemaliza kuchakata
Kiwanda kiko wapi sasa jamani
Aisee, umepata sasa?