JamiiForums Usiku wa manane
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Lengo la huu uzi lilishasahaulika....
04:08
 
Screenshot_20191023-022504.jpeg
 
Nilimaliza kucheki muvi inaitwa five feet apart toka saa 7 nikasema nilale ila usingizi umegoma..
Ni ya action?

Nimemaliza kuangalia uefa saa 6 ila ndio usingizi sioni hata dalili.

Naswipe tu nyimbo sasa hivi.
Screenshot_20191023-022951.jpeg
 
Back
Top Bottom