kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,871
- 4,155
Mko popo wenzangu
Wewe ukituham tukuje, sisi tukikuhamu wala hujaliKuna watu nimewaham huku.....mkuje basi...
Mzima wewe! Habari za masiku?Kuna watu nimewaham huku.....mkuje basi...
Haki na mi nimekuham madamWewe ukituham tukuje, sisi tukikuhamu wala hujali
HujamboHaki na mi nimekuham madam
Mzima na buheri wa afya, nijaalie hali yakoHujambo
Mzima na buheri wa afya, nijaalie hali yako
Ni furaha yangu kulijua hilo mkuuNiko poa namshukuru Mungu
AminNi furaha yangu kulijua hilo mkuu
Na siku ianze vema Inshaallah
Najali sana, nashindwa kuielezea...Wewe ukituham tukuje, sisi tukikuhamu wala hujali



Njema kabisa. Uwe na Weekend njema.Mzima wewe! Habari za masiku?
namtafuta sana huyo, too bad sikuwa na contacts zake.Iceman 3D amepotelea wapi huyu chalii
Hivi "nimewahamu" ni Kiswahili cha wapi hiki ?Kuna watu nimewaham huku.....mkuje basi...
Wakikujibu unitag ili na mimi niwaulize aliyeimba ule wimbo unaosema, "Wivu ni kidonda ukiushiriki utakonda"Hivi ule wimbo unaimbwa..
#Shemeji Shemeji huku wazima taa# kaimba nani vile?
Mmmh shem hapa umenifunga kamba!Wanawake Wapo Wanaitwa Maharia

Ndo maana nimeshtuka kukuona wang'ara, ama kweli mshiki wa Nleterewa Nganengo anajua kukupetpet!Sura Yangu Unahifamu Vizuri Ngozi Kama Kanda La Limao Shem Wala Usipate Tabu![]()