Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Habari yangu Njema.
Za wewe?
Habari yangu Njema.
Wanawake Wapo Wanaitwa MahariaHivi mabaharia ni wanaume tu au hata wanawake wapo mabahari?
kuna wahuni sijawahi wakosa JF,muda wote wako online.
vipi wazee mnafanyakazi JF au mnalipwa?![]()
Nimewasahau majina mpaka wajitokeze kama wewe ulivyofanya .....Wataje nikusaidie kuwaita
Aya mnipe funguo Sasa nimekuja lindoNimewasahau majina mpaka wajitokeze kama wewe ulivyofanya .....
Za miaka au sijui miezi?
Habari yangu Njema.
Za wewe?
kutokua na bundle kunawafanya watumie free basicsKwani nini msingi wa swali lako?
Hoja ni bundle ama muda?
Funguo tu?Aya mnipe funguo Sasa nimekuja lindo
Wapo mbona....tunapeana nafasi....tukulinda wote nani ataibiwa....Mzima Wa Afya Tele.
Naona Popo Wengi Siku Hizi Siwaoni
Hivi ule wimbo unaimbwa..Shem huo u-handsome umeupata lini?![]()
Sawa Boss.kutokua na bundle kunawafanya watumie free basics
free basics haina uhuru,ina limitation
yawafanya wawe J4 mda wote
Nipatie kahawa tafadhali,Funguo tu?
Upinde, Mshale, Panga, na Kahawa.
Karibu
Naona siku hizi mbinu za ulinzi zimepevuka, walinzi wanalinda wakiwa wamejifungia ndani.Funguo tu?
Upinde, Mshale, Panga, na Kahawa.
Karibu
RIP Mugabe,Descansa en paz Robert Gabriel Mugabe
Nyeusi au nyeupe?Nipatie kahawa tafadhali,
Karibu wote wamekua kuku wakiongozwa na kuku mkongwe ThadMzima Wa Afya Tele.
Naona Popo Wengi Siku Hizi Siwaoni