Kwa saa za hapo u diaspolani huku kwetu kumeshakuchaBado kdg ndio kwanza 05:45
Kwa saa za hapo u diaspolani huku kwetu kumeshakuchaBado kdg ndio kwanza 05:45
Duh, mnakunywa supu sasa , kwani ukiwa Ndola au Lubumbashi ni u diaspolani unakua?Kwa saa za hapo u diaspolani huku kwetu kumeshakucha
Huko kote kunasomeka hivyo mkuuDuh, mnakunywa supu sasa , kwani ukiwa Ndola au Lubumbashi ni u diaspolani unakua?
😋Abee!
Wataje nikusaidie kuwaitaKuna watu nimewaham huku.....mkuje basi...
Shem huo u-handsome umeupata lini?

Emu wataje ili watupe majibu.kuna wahuni sijawahi wakosa JF,muda wote wako online.
vipi wazee mnafanyakazi JF au mnalipwa?🤒
au wanatumia free basics 😂😂😂Emu wataje ili watupe majibu.
Mwanamke unakuaje baharia? Huu msamiati bado haujanikaa vizuri kwa tafsiri ingawa nahisi hapa huzungumziwa wanaume.Hivi mabaharia ni wanaume tu au hata wanawake wapo mabahari?
Kwani nini msingi wa swali lako?au wanatumia free basics 😂😂😂
Shem huo u-handsome umeupata lini?![]()