Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Mebarikiwa mliofika 07/09
Mebarikiwa mliofika 07/09
Chief nipo nje hapa,baridi inagonga si mchezo!Naona siku hizi mbinu za ulinzi zimepevuka, walinzi wanalinda wakiwa wamejifungia ndani.
Aiseee kahawa tu nipo na mguu wa kuku hapa hakuna kiumbe ata sumbuaFunguo tu?
Upinde, Mshale, Panga, na Kahawa.
Karibu
Naona Unakaba Hadi Penalty ComradeHivi ule wimbo unaimbwa..
#Shemeji Shemeji huku wazima taa# kaimba nani vile?
Walinzi tumekosa wito.Naona siku hizi mbinu za ulinzi zimepevuka, walinzi wanalinda wakiwa wamejifungia ndani.
Nitapitisha na kashata zipo pia.Aiseee kahawa tu nipo na mguu wa kuku hapa hakuna kiumbe ata sumbua
Black, bitter please.Nyeusi au nyeupe?
Sukari au asali?
Utaipata asubuhi ukishaamka....Black, bitter please.
Sawa komredi, hiyo huwa tunaondoa na ghahawa nyeusi iliyochangwanya na nyongo ya mambaChief nipo nje hapa,baridi inagonga si mchezo!
Usijali, chupa moja tu mkuu.Kumbuka Hiyo Si Chai Kiongozi
Kabisa, kwenye kikao cha kufunga mwaka inabidi iwe sehemu ya ajenda ambatanishwa.Walinzi tumekosa wito.
CCTV cams zimetuharibu
Sawa afande!Utaipata asubuhi ukishaamka....
Endelea na kinywaji chako hapo.
Kamanda amesema itapita asubuhi, naomba nifikilie mkuu wangu tafadhali, ikiwezekana ipite muda huu.Sawa komredi, hiyo huwa tunaondoa na ghahawa nyeusi iliyochangwanya na nyongo ya mamba
Mbona hujatoa location Mkuu tukupe kampani
Abee mbabuBinti
Usijali, chupa moja tu mkuu.