amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
ningendako shikamoo
Nilipokukosa kibarazani.Ulikuwa unaumwa?
Lindo la chato kuna mtu anaenda kuliwa vizuri sana leoView attachment 1199465
Kwema..Kwema humu?
Karibu..Boko wala wenziooooo boko wala wenzio nawe ........ Nimewakumbuka njenje hapa
Lindoni
Kwa marehemu wote ,ila zaidi nadhani ni D Rob wa KU crewwakuu,hivi hii nyimbo ya GK na TID - tunakukumbuka ni true story ? walimuimbia nani
HahahahaNami nipo hapa nakesha leo
BintiKwema humu?
Asee umenikumbusha salender bridge The Kilimanjaro Band ,kudadekBoko wala wenziooooo boko wala wenzio nawe ........ Nimewakumbuka njenje hapa
Uko wapi ? TuonaneLindoni
Uko wapi ? Tuonane
Sawa km ni pale ,tegemea ugeni siku yoyote RafikiHome, mwinjum street
Mkuu funga lindoSawa km ni pale ,tegemea ugeni siku yoyote Rafiki
Bado kdg ndio kwanza 05:45Mkuu funga lindo