Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
bbade toxic9 ningendako SHIMBA YA BUYENZE chaliifrancisco Zurri niah
na wote niliowasahau........
mnaendeleaje wakuu?!
na wote niliowasahau........
mnaendeleaje wakuu?!
Hiyo Out imekaa vizuri sana. Hupati shida kabisa
Yaani bado tupo, nimejikuta naangalia movie ya kinigeria naona kabisa nadanganywa ila wapi bado naangalia tuLate night
HahahhahaYaani bado tupo, nimejikuta naangalia movie ya kinigeria naona kabisa nadanganywa ila wapi bado naangalia tu
Kwa mamlaka niliyonayo kama kiongozi mkuu mwandamizi wa walinzi, ninaomba kufunga geti mpaka hapo usiku wa manane.
Utawala.