fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
Waliwao ni wengi kuliko wanaokulaNdiyo mchezo wa kubashiri 50/50
Waliwao ni wengi kuliko wanaokulaNdiyo mchezo wa kubashiri 50/50
tehteh,,,,,,,,Mhindi ni noma,kuna jamaa aliahidi kutembea na mama ake dar to mwanza km Bafana bafana atamtoa Farao,baada ya dakika 90 kapotea sijui ndio kaanza safari
Yule jamaa upande wa salaha alibana sanaWazulu ni nomaa walikaba mpaka kivuli
Kabisa huu mpira ulikua mpira wa juu Sanawa south wa leo,sio wale wa kwenye group la makundi,,,,,,,,
Unawangia wapiMida ya wanga hii
Nawangia jukwaani hapa hapa mzeeUnawangia wapi
Usije kuturoga na sisiNawangia jukwaani hapa hapa mzee
akituroga tunampiga kipapai,,,,,,,,,,,,Usije kuturoga na sisi
Mwanga mahiri hapapaikiakituroga tunampiga kipapai,,,,,,,,,,,,
sasa huku unakutana na expertMwanga mahiri hapapaiki
,,Mimi mwanga chaajabu nakuleta gizani.... maana mimi ndio expert wa nguvu za giza vigumu sana kuniwezasasa huku unakutana na expert,,
kokoriiikoooooo!!!!!Yap,hapa ndio kwanza jogoo anawika
tehtehMimi mwanga chaajabu nakuleta gizani.... maana mimi ndio expert wa nguvu za giza vigumu sana kuniweza
kwan ngpngp wazeeYule jamaa upande wa salaha alibana sana
SA MOJA EGYPT BASHITEkwan ngpngp wazee
umeokosaje,,,,,,,Nimekosa usingizi nifanye nini ili nipate usingizi