JamiiForums Usiku wa manane
acha hizo mkuu,,,,,
hebu muamushe mpige misele,,,,
askari wenu wengi wanadondoka usiku sana,,
Air Ungo Hali ya hewa ni mbaya ........
Jamaa mgomvi sana Huyu

Huwa akishiba ugali hakamatiki

Leo weekend

Mkuu

Hatuna kazi
 
Wakuu mwanangu kashtuka anasema baba njoo kulala utashindwa kwenda shule. Hahahahah hivi vitoto ada tunalipa sie na order tunaambiwa tunatakiwa kutekeleza
 
Back
Top Bottom