Mledi haswa
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 161
- 172
Daaah usingizi umekwea pipa kabisa
Tafuta location ya villa parkNiko mwanza nimefikia hotel moja hapa ghana,barabarani kabisa niko floor ya nne najishangaa aina uaingizi kabisa
Too lateTafuta location ya villa park
HahahahaHii ikitokea litakua ajabu la saba la dunia
huu uzi nilikua siuoni
Lazima itakua ni juu ya demu...stress nyingi huletwa na mahusiano but whyStress mbaya sana usingizi hamna
Muda wao badoHumu leo naona watu chaliiii
Stress mbaya sana usingizi hamna
Pole sana wanawake sio watu wazuri
Bora angekua demu naumwa, stress za ugonjwa unazijua mkuu
Najua tu stress za ugonjwa wa mapenzi Mkuu