JamiiForums Usiku wa manane
Ishu ya Tundu lissu

Bado siamini kuna binadamu wakatili kiasi hichi

Hivi kuna wapumbavu siku akifa ndugai wataandika rest in peace RIP ?
 
Najilia vyangu ,nke Wa NTU sumu mwenye Mali yuko busy bar hiii ngoma ya Taifa stars magoli ya usiku ,njombaa nchumali.
 
stess mkuu,,nimeenda kitandani saa sita nikashangaa dari hadi saa saba nikatoka kuja sebleni,nikawasha laptop,,nikacheki ytube nikachoka,nikaangalia movie nikachoka,nikaingia IG,FB,na Twitter bado nikachoka,saa kumi hii nakumbuka mbona bado kuna JF cjaingia?,,kuchungulia tu nakutana na uzi huu,nikaona hapa ndo pakutiririka na mastress yangu,huyu baba kutushikilia patamu kweli kweli,maana nina zaidi ya miezi mitatu kila ninachofanya hakiendi,,nikienda kwenye biashara zangu kila mwez unaokatika acc inapungua more than million bila matumizi yyt ya kimaendeleo,wakati nasota kuzunguka huku na huko ili acc isome milion zaidi kwa mwezi unaofuata najikuta napunguza million nyingine tena.ku*amak* jiw* katutom** mbaya kabisa.ndo ivyo hatuna namna,,nahisi hadi amalize miaka yake yote 10 nitakua nafanya kazi ya kufagia barabara manispaa,maana msingi wote utakua ushateketea.
 
Mimi ni Ishu ya Tundu lissu

Bado siamini kuna binadamu wakatili kiasi hichi

Hivi kuna wapumbavu siku akifa ndugai wataandika rest in peace RIP ?
 
mk

mkuu kuna watu wanatabia ya kupenda kitu hadi wanapitiliza,,yy hata ufanye kosa gani bado atakusifia kuwa upo sahii,,nahisi hata auwawe baba na mama yake ataona wazazi wake ndo walikua na makosa na sio kiongozi wake huyo,wanasapoti upuuzi wwt unaofanyika,hata akitambua ni upuuzi bado atasapoti ili tu kulinda chama na kiongozi wake,,,,huu ujinga nahisi Tz ndo kinara kwa kuwa na wananchi wajinga kupiliza
 
Teh ...
 
Mkwanja problem.. Shule zinafunguliwa Mambo ni mengi muda hautoshi na Pesa pia haitoshi natamani nifanye kazi 24 hours.
 
Back
Top Bottom