wake zako wawili wanahudumiwa na nani kama wewe upo jf usiku huu??Nipo ......!
wake zako wawili wanahudumiwa na nani kama wewe upo jf usiku huu??
Kunielewesha
Niliuliza swali hapo juu ndio ukanijibu, nimeshukuru.
Leo nimekuwahi kaka!Hi all
Sawa kaka na mimi kesho nitawahiLeo nimekuwahi kaka!
Unawahi sana na hukosekani lindoni hapaLeo nimekuwahi kaka!
Karibu bossHodi lindoni
Usiku unaanza saa tano. Ukiwahi kabla ya saa tano, haihesabiki.Sawa kaka na mimi kesho nitawahi
Asante mkuuKaribu boss
Karibu mkuu!Asante mkuu
Nimewahi kabisa siti ya mbele MkuuKaribu mkuu!