Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Kudadadeki leo naona pipo zimelewa pilau
Eeeeh mkuuuNaona kumekucha
Eid MubarakKudadadeki leo naona pipo zimelewa pilau
Minal faidhin MkuuEid Mubarak
People zimevuta shuka mapemaMinal faidhin Mkuu
Njema, za wewe je?
Pilau sio nzuri brotherPeople zimevuta shuka mapema
Nzuri sister, ulipotea!
Hope mko powa.
Hahaha, inawezekana kabisa naona wanapotea wawili wawiliwanasindikizana toilet
Inapendeza,,,, Eid MubarakNzurii
Wanaprove usemi wa nyumba ni chooHahaha, inawezekana kabisa naona wanapotea wawili wawili
Umekuja na mizuka ya kutoshaEeeeh mkuuu
Nikapotea kweli....
Hatujambo nashukuru.
Sikukuu umekula mwenyewe?
Wanaprove usemi wa nyumba ni choo
Kwani ilikuwa ni sikukuu au mapumziko?
Leo mpaka counter waseme zimeisha,hata mtaroni nitalalaMoja Moto, moja baridi