JamiiForums Usiku wa manane
Kila kitu kwa kiasi Mkuu

Nilkokua naelekea ni kubaya. Kuna siku nimepiga bia za 40,000. Asubuh saa tatu had saa 4 usiku. Dah, hoi, yaan, afu nilkua mbinafsi naenda mwenyew ,, nkiwa tungi nampigia mwana wangu mmoja iv anachomoka hostel ananfuata. Dah,
 
Dah Mkuu wewe kweli ulizidiaha ,unajua kila kitu ukifanya kwa kiasi ni sawa ila ukizidisha ndio shida zinaanzia hapo...

Piga maji mkuu. Sema hiyo kitu ukia adicted inaleta noma. Inakua inakuwasha unataman uipate. Afu inaambatana na umalaya
 
Poa poa Mkuu,
Kuna jamaa hapa amekuja na demu mkali balaa,naona nimeanza kumpenda, nasubiri tu jamaa aanze kulewa nimvue huyu kambale.... ubaya ubaya tu...

Ahahahah. Umeona sasa pombe anaambatana na nani?! But kumbuka ndom mwanangu,
 
Back
Top Bottom