fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
Nahisi hivyo maana leo walinzi wa kutosha wamejitokeza ktk lindoKumbe shida ilikuwa mwezi Mkuu?
Nahisi hivyo maana leo walinzi wa kutosha wamejitokeza ktk lindoKumbe shida ilikuwa mwezi Mkuu?
😂😂😂Nahisi hivyo maana leo walinzi wa kutosha wamejitokeza ktk lindo
Walinzi...Tukaribishane Eid aisee
Teh teh..Shida sana..Unafika sokoni kuku wanakuangalia halafu wanatabasamu..Wanajua huwezi kuwachukua..Zamani kipindi kama hiki walikuwa na masikitiko makubwa..Msimu wa Magu kila mmoja anajitegemea.
Teh teh..Shida sana..Unafika sokoni kuku wanakuangalia halafu wanatabasamu..Wanajua huwezi kuwachukua..Zamani kipindi kama hiki walikuwa na masikitiko makubwa..
Sasa hivi kama umefuga kuku, mgeni akija hawakimbii, tena wanaweza hata kuja kuchezea miguuni.
..Wamekuwa na dharau sana![]()
..Wamekuwa na dharau sana
Zaidi wale waliokuwa wanategemea pesa za vibopa kuleta dharau mjini/kitaa utawaonea huruma..Yataisha madharau yao.
Halafu imekuwa vice versa, wale kuku chapa-mtu dharau zimeisha.

Amka mkuu saa tisa ndio hii.Bado dakika mbili ifike 23:00.
Usingizi nao umenifika hapa, nitakuja mida ya Saa Tisa kuwasabahi![]()
23:3123:30
Mpoooooooo??????
Njema, za wewe je?Tupo, za Kwako?