Usiku wa manane bado mkuu!
Huu ni usiku wa mangapiUsiku wa manane bado mkuu!
Mambo ya Africa haya daah aisee.......Malawi hii wakati wa inauguration of Peter MutharikaNiko lindoniView attachment 1115814
Tunauita usiku wa malangoHuu ni usiku wa mangapi

MasitaHuu ni usiku wa mangapi
Ndiyo mmeniacha peke yangu, au!
KaribuNipo ....
Nani Huyo, mtajeAsante.
Kuna mtu namtafuta kwa uvumba na udi.
Hapana Mkuu tulikuwa tunakunywa kahawa kwanzaNdiyo mmeniacha peke yangu, au!
Kumbe shida ilikuwa mwezi Mkuu?Hatimae mwezi umeisha na lindo litarudi