Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Nimeitwa geti la kule juu, kwaherini kwa muda.
Poa poa kaka, wasalimie.
Nimeitwa geti la kule juu, kwaherini kwa muda.
Waulizr kwa simu, kuna nini?Nimeitwa geti la kule juu, kwaherini kwa muda.
hahahaha, tuko lindoniNaona umefurahiii....
NdiwoooAcha mambo yako shem, asubuhi yote hii mazoezi tena...
ShemAsubuhi njema kwako.
Habari za wewe apo mkuuHaya mlinzi wetu
NzuriHabari za humu ndani
Nafunga lindo...
Ni uzembe na malipo yaje uzeeni.Hivi kulala sana ni ugonjwa?
Dah....siyo ugonjwa bana...Cha msingi upate muda wa mazoezi tu...Hivi kulala sana ni ugonjwa?
