Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
GoodAfande, nipo
GoodAfande, nipo
Sijasikia langu bossUkisikia jina lako itika jana na leo
Wewe sina haja ya kukuita maana tumetoka wote nyumbaniSijasikia langu boss
Sawa mke..Nina swaliWewe sina haja ya kukuita maana tumetoka wote nyumbani
Karibu mume, lisiwe gumu lakini si unajua mi mkeo kichwa majiSawa mke..Nina swali
Wa jana wote walifukuzwa kazi!Ukisikia jina lako itika jana na leo
Eeh kumbe... Ni akina nani haoWa jana wote walifukuzwa kazi!
Nawe ulale salama mtoto mzuriWanazengo mkeshe salama!
Nawe ulale salama mtoto mzuri
Kwenye pitapita zangu nimewahi kukukuta sehemu unatema madini ya dini..Nadhani hili halitakuwa gumu kwako..Karibu mume, lisiwe gumu lakini si unajua mi mkeo kichwa maji
Ndo ID yako inasema hivyo??Asee, mimi mtoto tena
Ndo ID yako inasema hivyo??
Ni dhambi ndio maana ni uongo utakuwa unasemaKwenye pitapita zangu nimewahi kukukuta sehemu unatema madini ya dini..Nadhani hili halitakuwa gumu kwako..
Wewe ni binti wa kilokole..Una uzuri wa asili unaovutia na kushawishi..Kutokana na uzuri wako ulioambatana na ngozi nzuri ya kuvutia, nakupa dili la kufanya tangazo la vipodozi vyangu ambavyo hujawahi hata kuvitumia..
Kwenye tangazo unatakiwa useme uzuri wa ngozi yako unatokana na matumizi ya vipodozi vyangu..
Ukifanya hilo tangazo utakuwa unatenda dhambi??
Si tunakatishaNi dingimtoto sio mtoto
Dingi mtoto hawezi kuwa mkubwa..Atakuwa ni mtoto tu japokuwa ni dingi..Ni dingimtoto sio mtoto