Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Yepi...NIDO?Ooh! Nilijua maziwa yaleee!
Yepi...NIDO?Ooh! Nilijua maziwa yaleee!
Bbade uwe na usiku Mwanana. Ngoja nijipumzishe huku baridi mno
Sukari kiasi ili kuongeza utam
Yafananayo nayoYepi...NIDO?
Yafananayo nayo
Niupendao ndiyo uupendao pia!Utajiwekea mwenyewe basi....siwezi kujua kipimo cha utamu uupendao
Yale ya siku zote, ya asiliEmbu tuambiane...yepi hayo?
Bahati mbaya, sipendi sukari.Niupendao ndiyo uupendao pia!
Yepi...NIDO?
Kwetu Umasaini ya mbuzi na ng'ombe ndio ya asili...karibuYale ya siku zote, ya asili
Lakini bahati nzuri unapenda utam!Bahati mbaya, sipendi sukari.
No, ya binadam.
Hapana. sipendi....nimezoea chachuLakini bahati nzuri unapenda utam!
Ninayo kwenye Freezer...uje kujisevia
Karibu sana...Sawa, itabidi nipite muda wa kutoka lindo.
Utam ni ulimi wako hata chachu yaweza kuwa tamHapana. sipendi....nimezoea chachu
Utam ni ulimi wako hata chachu yaweza kuwa tam
Karibu sana...
"Dumejeuri", jeuri yako ni ip?long time kitambo angalau leo nimepita hii mitaa