ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Daku anakula yeyeto tu shem,ukiona mtu anaamka unaunga bodi unapiga naye[emoji3]
Hahaha hahaha....
Mie sio muumini Shem ake mie
Hahaha hahaha....
Mie sio muumini Shem ake mie
Hahaha hahahaDaku anakula yeyeto tu shem,ukiona mtu anaamka unaunga bodi unapiga naye[emoji3]
Naona ushalewa dakuDaku anakula yeyeto tu shem,ukiona mtu anaamka unaunga bodi unapiga naye[emoji3]
Pole sana, mimi hapa nipo vizuri, tayari nimepiga vitu vyanguHahaha hahaha
Siwezi kukula usiki mnene Shem
Naona ushalewa daku
Hongera sana kwa kushiba!Pole sana, mimi hapa nipo vizuri, tayari nimepiga vitu vyangu
Hahaha hahahaKweli naona inaanza kafanya kazi[emoji23][emoji23],ila hiyo ni kawaida ya daku...kibaya kuvimbiwa tu.
Kusema ukweli leo nitajitahidi nisilale kabisa,hapa itabidi nisome kitabu kido mpaka pakuche, nikisema nilale tu,tumbo langu nalijua..kesho itakuwa balaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha
Hivi ukikula hivyo unalala au
Asante,...Daku haitakiwi mtu ashibe mpaka kitumbo kiwe juu juu, inatakiwa mtu ale kidogo tu,sio vitu vigumu kama bada na papa[emoji23][emoji23]Hongera sana kwa kushiba!
Fanya mazoezi kidogooKusema ukweli leo nitajitahidi nisilale kabisa,hapa itabidi nisome kitabu kido mpaka pakuche, nikisema nilale tu,tumbo langu nalijua..kesho itakuwa balaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hahahaAsante,...Daku haitakiwi mtu ashibe mpaka kitumbo kiwe juu juu, inatakiwa mtu ale kidogo tu,sio vitu vigumu kama bada na papa[emoji23][emoji23]
Fanya mazoezi kidogoo
Hahaha hahaha
Eti bada! Mekumbuka mbali sana jamanii
Nafunga geti!
Morning watu wa Mungu
Kumbe ni kijana wa dar,Una mpango wa kulima kwani mvua bado zinanyesha huko
Maana vijana wa dar mvua zikinyesha tu mnataka kulima
Haya mlinzi wetuNafunga geti!
Morning watu wa Mungu
Hahahaha
Hey! Upo?Naona umefurahiii....