Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Wadau kwema. Lindo limepoa mno. Geti lipo wazi
Kidogo nikupite....umabadilika za mihangaiko?
Wadau kwema. Lindo limepoa mno. Geti lipo wazi
Hey! Upo?
Nimejileta mwenyewe. Nzuri na mshukuru mambo yanaenda. Sijui kwakoKidogo nikupite....umabadilika za mihangaiko?
Naona umefurahiii....
Nimejileta mwenyewe. Nzuri na mshukuru mambo yanaenda. Sijui kwako
Kwa kweli, maana ni kitambo haswaa.Huku salama kabisa....tunashukuru tumekutana tena
Happy New Day!
Kwa kweli, maana ni kitambo haswaa.
Pingu unaijua lakiniNikuandalie kinywaji gani usiku huu?
Pingu unaijua lakini
Kaka mpendwa...hii Happy New Day sijaielewa...nifafanulie....
Nikuandalie kinywaji gani usiku huu?
Hongera kwa kuiona siku nyingine tena, I mean mara ya mwisho tumeonana jana.
Mimi naomba kama kawaida.
Sawa wanicheka
Kaka tangawizi ita kata usingizi....nakuletea maziwa tu
Maziwa gani!