Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Unasema ?
Kaka hujambo?
Unasema ?
Aiseee kwema humu?
NaUnGa MkOno hOjA
Mi Niko poa! Unanizidi nini huko mamangu?Aiseee salama , sijui wewe?
Mi Niko poa! Unanizidi nini huko mamangu?
Aaaaaagh huo ata mimi mbona ninao?Usingizi...
Sorry dada wewe ni customer service nnUshaunga, ukalale sasa. kesho mgeni wako....jiandae
Aaaaaagh huo ata mimi mbona ninao?
Sorry dada wewe ni customer service nn
Shikamoo dada.Kaka hujambo?
Hahaha! Sio wewe, yeye tangu mwaka huu uanze hajawahi hata kutoa hi!! HukuSijui ndio mama kijacho kama anavyodai dingimtoto
Shikamoo dada.
Unafuraaaaahiiii mwenyewe ?!Marahaba mdogo wangu
Hahaha! Sio wewe, yeye tangu mwaka huu uanze hajawahi hata kutoa hi!! Huku
Napata wapi heshima hizi tena?Unafuraaaaahiiii mwenyewe ?!
Wewe naona bado wakati wako, wa kula udongoTeh Teh nilishaanza kujichunguza


Wewe naona bado wakati wako, wa kula udongo
Na mkaa![]()
Night kali dailyHapana wala sijawahi kufikiria kufanya hiyo kazi...
kwanini umeuliza kaka?
Aisee haya bana,Siri yangu....ila yote Kheri