JamiiForums Usiku wa manane
Dah. Ujue dada yangu Khantwe yupo humu atashangaa sana maneno unayoniambia unanikuza kwa nguvu.

Ndio maana huwa ananikataza mda mwingine nisiingie JF.
Ahahaa .... jamaa itakuwa kuna new member mdada una mnyapia nyapia humu " -- so wajaribu kuongeza sifa za u-decent wako ili ajitege kwenye nyavu ulizo mtega !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahaa .... jamaa itakuwa kuna new member mdada una mnyapia nyapia humu " -- so wajaribu kuongeza sifa za u-decent wako ili ajitege kwenye nyavu ulizo mtega !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wala sihitaji ku prove chochote kwa mtu yeyote JF. Wanaonifahamu wanajua decency yangu. Hao tu kujua inatosha.
 
Hahaha wala sihitaji ku prove chochote kwa mtu yeyote JF. Wanaonifahamu wanajua decency yangu. Hao tu kujua inatosha.
Hata mimi najua hilo " lakini hapa nimeona dalili za kuzidisha zaidi ... nikajikuta napata shaka .... wajua watu ambao ni ma-decent ndio wanao ongoza kwa kutuvunjia ndoa zetu na wake zetu ....

So nakuogopa sana mkuu --- hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom