Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
Hawa waume zetu hawa sijui huwa wanakamatwa na mashetani gani, bora zingekua za kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa waume zetu hawa sijui huwa wanakamatwa na mashetani gani, bora zingekua za kiuchumi
Kuna kushinda mechi na kuna kufuzu hatua inayofuata. Liverpool anaweza asishinde lakini akafuzu.Hahaa Liverpool ashinde hiyo mechi !? ... akishinda ni dai dada yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na hasira chunga sana kauli na matendo yako. Jitahidi utulize kwanza hasira kabla huja react kwa kuongea au kutenda kitu.
Aisee pole mkuu " .. Ukijiona unaishi maisha bila ya kukutana na changamoto " tambua kuwa wewe utakuwa tayari umeshakuwa mfu --, kwa namna yeyote ili binaadamu aweze kupiga hatua ya kufikia mafanikio anazihitaji mnoo changamoto ili ziweze kumpa hamasa ya kuweza kufikia malengo yakeHawa waume zetu hawa sijui huwa wanakamatwa na mashetani gani, bora zingekua za kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh !!! Kumbe mechi ya awali walishinda goli 3. 0 basi liver kapita ...sina semi zaidiKuna kushinda mechi na kuna kufuzu hatua inayofuata. Liverpool anaweza asishinde lakini akafuzu.
Labda niambie ipi unayopinga hapo ili nibadilishe ombi maana dadako sitaki nichague kitu kingine.
No ilikua 0-0 bwana.Dahh !!! Kumbe mechi ya awali walishinda goli 3. 0 basi liver kapita ...sina semi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha acha hizo ... msimu hii hauna team tushio kabisa katika UEFA ...team nyingi zimeshuka viwango ...hata zile ambazo zilizo kuwa tishio zimekuwa na uwezo wa wastani tuNo ilikua 0-0 bwana.![]()
Yeah ilikua 0-0 Anfield. Bayern sio wakali kiivyo so Liverpool wajitahidi angalau kupata kagoli kamoja cha mapema basi itakua safari kwa Bayern maana wakijitahidi kusuluhu basi Liverpool watapita kwa goli la ugenini. Sioni Bayern ikifunga goli mbele ya VVD na Alisson.Hahaha acha hizo ... msimu hii hauna team tushio kabisa katika UEFA ...team nyingi zimeshuka viwango ...hata zile ambazo zilizo kuwa tishio zimekuwa na uwezo wa wastani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise " nausubiri huo mpambano kwa shauku kubwaYeah ilikua 0-0 Anfield. Bayern sio wakali kiivyo so Liverpool wajitahidi angalau kupata kagoli kamoja cha mapema basi itakua safari kwa Bayern maana wakijitahidi kusuluhu basi Liverpool watapita kwa goli la ugenini. Sioni Bayern ikifunga goli mbele ya VVD na Alisson.
Mane atatupia goli mbili mechi inaisha
0-2
Good morning people of this land?
Hope All is Well, wish you all the best in your daily endeavors.
Dah...biashara ilikuwa mbaya Sana...ngoja tupumzike tu

Pole Mkuu " tujaribu usiku wa leo pia " Huwenda mambo Yakaenda vyemaDah...biashara ilikuwa mbaya Sana...ngoja tupumzike tu
Sent using Beretta ARX 160
Dah... Poa mkuuPole Mkuu " tujaribu usiku wa leo pia " Huwenda mambo Yakaenda vyema
Sent using Jamii Forums mobile app

Haha yaani wewe ni mdogo kuliko ChaliiFrancisco, kweli hum Jf kibokoNaona unapiga kimoja --- halafu ukipumzika una kuja kuchungulia Jf .... wakubwa mna faidi Sana ....sijui kwanini nachelewa mno kukua !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kwani ulikuwa unategemea kwamba nimezidi umri chalii !!! Kwanini kiboko sasa jamani !!Haha yaani wewe ni mdogo kuliko ChaliiFrancisco, kweli hum Jf kiboko
Hahaa kwani ulikuwa unategemea kwamba nimezidi umri chalii !!! Kwanini kiboko sasa jamani !!

sikutegemea kama atakuwa amekuzidi. Kiboko kwa sababu tunajichanganya na watoto wa kuwazaa hadi wajukuuHaha haha ... ukianza kuchukua vi-ben10 tafadhali unifikiriesikutegemea kama atakuwa amekuzidi. Kiboko kwa sababu tunajichanganya na watoto wa kuwazaa hadi wajukuu
Haha nilijaribu kuchukua vimenishinda