JamiiForums Usiku wa manane
Hata mimi najua hilo " lakini hapa nimeona dalili za kuzidisha zaidi ... nikajikuta napata shaka .... wajua watu ambao ni ma-decent ndio wanao ongoza kwa kutuvunjia ndoa zetu na wake zetu ....

So nakuogopa sana mkuu --- hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Naheshimu viapo vya watu mkuu. Hata chakwangu ambacho sio rasmi nakiheshimu pia ili kije kuwa rasmi.

Usiwe na shaka na mimi.
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Duuh namimi leo usinhizi umekata, natamani kama nipigane vile ila something tells to to be calm..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhh jamaa anatisha ..ana goli ngapi mpaka sasa !!? Na anaye mfuatia ni nani !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20190313-015721.jpeg
 
Hahaa " wewe kuwa mpole tu hivyo hivyo .. maana falsafa yangu ya maisha huwa inaniambia kwamba maisha ya binaadamu ni kama shilingi tu " ....lazima iwe na sura 2

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli japo unaweza kudhani kuwa upande wa pili kuna kifaru lakini kumbe sio bali kuna swala au simba.

Mara nyingi tunapenda kuamini maneno ya watu wengine kuhusu mtu fulani lakini ni ngumu kuamini maneno ya mtu fulani kumhusu yeye. Ni human nature.
 
Back
Top Bottom