JamiiForums Usiku wa manane
Latty anatafuta best wa ki tzii....
Mimi bahati mbaya ni Chinese....teh teh
Haha hao chinese ndo tunawataka haha huku wako wengi sana hadi kunawatoto wengi half chinese wamezaliwa,shida ni baada ya kuekana mimba hawaonekanagi,hadi nashuku wanaeza jaa sana juu nairobi wako more than 50K haha imagine mmoja akikueka mimba na wote wanafanana haha
 
Back
Top Bottom