hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,314
- 80,180
Hahaha ..kweli tenaAcheni kunijaza ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ..kweli tenaAcheni kunijaza ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Toka nikam huku,aki unashinda ukisema dakika mbili kila time,nakungojea buh hurudi[emoji1] [emoji1] [emoji86]Dk moja,narudi ....?!
Nilizo ziangalia nikamaliza ni 24hrs jack mwenyewe pale kati, lost pia nimeimaliza, prison ndiyo usiseme ninekesha nayo mpaka Michael scofield anakuja kufa, kasoro hiyo the missingSaka series inajiita( the following,lost,prison break sn 1-6,Missing,the gates )ni za kitambo kiasi ziko mob but sai nika sikumbuki,niko sure ukiona hizo utabambika tu sana,ziko very Toxic hata si 9 but Toxic 10 hahaha
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Toxic 10Saka series inajiita( the following,lost,prison break sn 1-6,Missing,the gates )ni za kitambo kiasi ziko mob but sai nika sikumbuki,niko sure ukiona hizo utabambika tu sana,ziko very Toxic hata si 9 but Toxic 10 hahaha
Haha binaadamu tunakawaida ya kukizoea kitu baada ya ule ugeni na upya kuzoeleka machoni petu ... ukishaanza kuyazoea hayo mazingira lazima utarudi kwenye uhalisia wa tabia yako mbaya tu ..Mwanamke ukipaweka nyumbani kwetu hivi, kwa kweli sibanduki nyumbani breakfast, lunch and dinner nitazilia nyumbani hata mchepuko sitakua nayoView attachment 1044329
Super hero daddy
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kukuona nimefurahi pia
24 hrs ni moto sana lakini ni long sana,na btw prison break michael hakuangi ame die,unaendelea kwa 6 kumbe anakuanga amefungiwa kwa prison flani kwa desert hivi,hio inakuanga kali juu huko kuhepa ni ngumu sana na kuna mtu anafaanga aa escape na yy ni kali sana buy Sn 6Nilizo ziangalia nikamaliza ni 24hrs jack mwenyewe pale kati, lost pia nimeimaliza, prison ndiyo usiseme ninekesha nayo mpaka Michael scofield anakuja kufa, kasoro hiyo the missing
Super hero daddy
Hapana. Bhana naanzaje kufanya hivyo kwa mfano !!!Umenikosa ndio unashindwa hata kunipitia walau unipe salamu
kumekucha tena jua lishachomoza lol..
24 hrs ni moto sana lakini ni long sana,na btw prison break michael hakuangi ame die,unaendelea kwa 6 kumbe anakuanga amefungiwa kwa prison flani kwa desert hivi,hio inakuanga kali juu huko kuhepa ni ngumu sana na kuna mtu anafaanga aa escape na yy ni kali sana buy Sn 6
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Tabia hushindwa na mazingira unajua hiloHaha binaadamu tunakawaida ya kukizoea kitu baada ya ule ugeni na upya kuzoeleka machoni petu ... ukishaanza kuyazoea hayo mazingira lazima utarudi kwenye uhalisia wa tabia yako mbaya tu ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeh wazi umeiget,ebu ambia Toxic10 venye ni dope kuruka
Sawa kiranja wa zamu
Utayaona mwenyeweUtanipa matokeo [emoji23][emoji23][emoji23]
Super hero daddy
Haha sio kwa tabia ambayo imekomaa. Na kuamua kuku ng'ang'ania kama ngozi ya mwili[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Tabia hushindwa na mazingira unajua hilo
Super hero daddy
Kwani unadhani hajui !!! Anakuzingua tu toxic9Eeeeh wazi umeiget,ebu ambia Toxic10 venye ni dope kuruka