JamiiForums Usiku wa manane
Sana mkuu.... Napenda movie za kuumiza vichwa... Kama bone collector denzo Washington tho ni ya muda kidogo

Super hero daddy
Ukiwa kazini unaumiza kichwa, ukirudi nyumbani unaumiza kichwa, ukiangalia mpira bado hauko salama kwenye suala hilo hadi kwenye muvi mnataka kuumiza vichwa....ndio maana wanaume mnakufa mapema mnatuacha wajane walah
 
Kuumiza kichwa huongeza ubunifu, akili huchangamka, na maisha yanaenda.... Nyie hamtaki wanaume tufe haraka ili mrithi mali

Super hero daddy
 
Back
Top Bottom