tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,201
- 29,762
Zurri Usharudi?
Nahis yatanipa gundu mapapuchi haya,me nawaza kujijenga kimaisha zaidi
Umenikosa ndio unashindwa hata kunipitia walau unipe salamuJamani jamani nime kukosa sana " Nyanya yangu .... long time no see
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo mwanga mwenzetuJamani nyie wanga mpo
Super hero daddy
Kuna movie moja inaitwa insomnia, kuna detective mmoja matata sana alikua halali kuna kesi ya mauaji ilimsumbua kichwa hatari
Haha ndio mida yangu ila nashangaa hadi sasa nipo tuSikufukuzi, siku hizi nimezoea ndo mida yako hii.
Nani asiyetaka kukaa na wewe?
Pole mkuu jipe moyo kwani nini mbaya?
Ni hawa KE wameniandama sn kunitakaPole mkuu jipe moyo kwani nini mbaya?
Acheni kunijaza ujinga


Ndiyo hivyo, inabidi tunashukuru hata hako ka muda anakotupa.
Unapenda movie za ma conspiracies ?na ma detectives?Kuna movie moja inaitwa insomnia, kuna detective mmoja matata sana alikua halali kuna kesi ya mauaji ilimsumbua kichwa hatari
Super hero daddy
Kwa hiyo ndio tatizo linalokusumbua?
Kasema leo haji mumewe katia simu kwenye majiAkija yule mrembo mnistue,waungwana ....!
Hapahapa. Niliopanga kuwawangia leo naona wote wako machoTunawanga wapi leo
Super hero daddy
Haha ndio mida yangu ila nashangaa hadi sasa nipo tu
Kasema leo haji mumewe katia simu kwenye maji
Sana mkuu.... Napenda movie za kuumiza vichwa... Kama bone collector denzo Washington tho ni ya muda kidogoUnapenda movie za ma conspiracies ?na ma detectives?