JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi nilikuwa nasoma sana hadithi za mapenzi kwenye magazeti ya Sani, Amba, Tabasamu na Bongo, na vijarida vidogo vidogo. Kwa hiyo kichwani mashairi yalikuwepo.
[emoji3][emoji3][emoji3] ulikuwa mtundu, mimi hivyo vijarida nilikuwa nasoma kwa kujiiba sanaaa maana nikionwa ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3] ulikuwa mtundu, mimi hivyo vijarida nilikuwa nasoma kwa kujiiba sanaaa maana nikionwa ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app

Vile vijarida vimenifundisha aisee, na nilikuwa na kifaa changu hicho, ndo najifunzia kushusha mistari. Kikawa kinajua nayatoa kichwani maskini.
 
[emoji23][emoji23] kingekuwa kinasoma kingekuumbua kama kilee ulichokuwa unakikopia kwenye mine boy

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo huyo huyo, hayo majarida alikuwa hasomi, hata akiyaona anasoma vikatuni tu.

Sasa mimi hadi kuna kitabu cha Willy Gamba, kinaitwa Njama niliwahi kuokota mistari mule, kuna dada anaitwa Veronica alisifiwa sana mule.

Mimi nakariri naenda kumshushia sifa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni shida, I hope umeacha uhuni huo wa kukopikopi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
455207835_182757~2.jpeg
 
Back
Top Bottom