Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Hiyo ni given mbona? Ndo maana sikuitaja. Labda Don aje kivingine aharibu mipango [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3] darasa la Advance tulikuwa na Neema watatu wote wembamba tena wale wawili walikuwa vimbaumbau haswaa
Don keshakimbia kwa hiyo uwanja wote wako we tamba tuHiyo ni given mbona? Ndo maana sikuitaja. Labda Don aje kivingine aharibu mipango [emoji16][emoji16][emoji16]
Akirudi swaga zake sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawezi kurudi mbona kama na wewe unataka kukimbiaAkirudi swaga zake sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
Hao hawakuwa Neema sawa sawa...au tuseme tu hypothesis imekataliwa. Inabidi kurudia utafiti...[emoji3][emoji3][emoji3] darasa la Advance tulikuwa na Neema watatu wote wembamba tena wale wawili walikuwa vimbaumbau haswaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho ndio umenena haswaa, ila jina lina watu wengi hili daahHao hawakuwa Neema sawa sawa...au tuseme tu hypothesis imekataliwa. Inabidi kurudia utafiti...
Kausingizi kananinyemelea nyemelea kwa kweli. Tena kuna kaubaridi na kimvua mvua. Hapa ni kufungua madirisha tu na kuuchapa usingizi. Ndoto tamu balaa...
Haya usingizi mwemaKausingizi kananinyemelea nyemelea kwa kweli. Tena kuna kaubaridi na kimvua mvua. Hapa ni kufungua madirisha tu na kuuchapa usingizi. Ndoto tamu balaa...
Asante kwa kampani Khantwe..
ASANTE. Na wewe pia.[emoji1545][emoji1545]
[emoji3][emoji3][emoji3] unaishia kumsimulia jinsi ulivyomkimbia mwalimu wa zamuHahaha, enzi zile unapanga mistari yote jinsi ya kumwambia mkionana.
Akija yote yanayeyuka, unaishia kuulizia daftari au kitabu. Ndo yakenikuta hapa.
[emoji3][emoji3][emoji3] unaishia kumsimulia jinsi ulivyomkimbia mwalimu wa zamu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii ya kweli au hadithi tuNakumbuka kichekesho kimoja, dogo kaandikiwa mistari ya kuimbisha, walipoonanana akaanza kushusha. Kufika sehemu mwandiko ukamshinda, akajikuta anauliza kwa sauti, "Hapa sijui Ally kaandikaje..."
Mchuchu kashtuka, kumbe unasoma!
[emoji3][emoji3][emoji3] na wewe ulikuwa unajiandaaje ukiwa unaenda kukutana na mchuchuNi story, lakini swala la watu kuandikiwa lilikuwepo. Mimi nakumbuka kuna watu nilikuwa nawaandikia wanameza, ila wakifika yanayeyuka (primary ilikuwa).
[emoji3][emoji3][emoji3] na wewe ulikuwa unajiandaaje ukiwa unaenda kukutana na mchuchu
Sent using Jamii Forums mobile app