Nice nameZa asubuh humu ndan
Za miaka?Sawa mtoto, mkichoka mtuite sie wakubwa zenu tuingie mzigoni
Usiku mwema mungu awabariki kwa mara ya nne.
Amen mkuu.Baraka kwako pia mkuu.
😁😁😁Nipo safarini nikielekea mwezini
Wigi? DuuhNairoberi is the only town in the world,mwanamke akivaa wigi expensive anapigwa ngeta ya mbao.sijawahi sikii sehemu yeyote mtu anapigwa ngeta because of a wig.