Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,262
Kwema lakini?
Kwema lakini?
Ulishakuchukua tayari?Usingizi kitu cha ajabu sana.
Ulishakuchukua tayari?
HahahahaDaaah,ilibaki kidogo tu unichukue,sema nimekurupuka kama mwizi vile,tumepishana nimekula hamsini zangu.
@dbade chukua hio zawadi nimekupea just in advance before valentinezari amebawai kbeti ya 180jeez mulla ya kenya pia mi si mchache chenye kiko hapi ndani nimebuy na 181jeez pesa ya kenya
![]()
SijakuelewaNaomba uniambie kwa lugha nyingine basi....
Haha kitendawili??Usingizi kitu cha ajabu sana.
Sijakuelewa
Hivi kwani wewe ni Hawa au AdamuNaona kina "Hawa" mara wanaongezeka mara wanapungua,ilimradi ni tafrani tu humu lindoni.
In short nimekupea zawadi before valentine day,,ndo nikakwambia zari hassan amebaiwa gift ya 180 thousand huku tunaita (Jeez) so mi hio gift nimekupee ni 181 jeezSijakuelewa ujue....
Acha nipokee hiyo zawadi tu....
Haha dope mi ni msee wa guarana hahaha ama smirnoff hahah am fanta pineappleMimi huwa nalala na bia kama tatu, sasa leo nimekunywa dawa usingizi hamna.
Habari ya mkesha!!!
In short nimekupea zawadi before valentine day,,ndo nikakwambia zari hassan amebaiwa gift ya 180 thousand huku tunaita (Jeez) so mi hio gift nimekupee ni 181 jeez
Dah..labda amri ya 6, 7 na ya 8 zinavunjwa hukoKwani leo wati hawana syke ama ni usingizi mob?


