Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,576
- 81,484
Hahaha alafu ni daily bablai.. HatukaukiHaha siwaelewi mjue ..saa 8 hii lakini kwenu ni kama saa 12 jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha alafu ni daily bablai.. HatukaukiHaha siwaelewi mjue ..saa 8 hii lakini kwenu ni kama saa 12 jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wakurugenzi wamepumzika tumebaki sisi tusio kuwa na mamlaka ya kugawa chochote. Tutakupokea tu kistaarabu taratibu nyingine wakija watakujuza [emoji23]
Acha uchochezi [emoji41]
Aisee mtaanza kuniambukiza na mimi hii tabia ... na hivi nina stress za kuachwa. ..hapa patanifaa kabisa kupooza maumivu ya moyo " maana kila nikijaribu kulala usingizi unanisalitiHahaha alafu ni daily bablai.. Hatukauki
Keif halik,,u mzima wewe??
Mimi nimecheka jinsi alivyoitamka amekosea mkuu hahaAcha uchochezi [emoji41]
Hahaha kwann mkuuAise huku sasa ndio dar- es- salam. Watu hamlali kabisa huku ... kweli mmevurugwa.. au wengine ni diaspora mnatuzuga tu hapa ..ili tuendelee kuwapa kampani
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ngoja nimwambie baba atazame footage za camera kama una chat usiku huu ...
Keif halik,,u mzima wewe??
Miss you much lovly sister
Itabidi tukae kikao kesho kwasasa maji yameisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata maji? Mgeni ataondoka Na baraka zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakubalije kuachwa bablai? Kuwa king'ang'aniziAisee mtaanza kuniambukiza na mimi hii tabia ... na hivi nina stress za kuachwa. ..hapa patanifaa kabisa kupooza maumivu ya moyo " maana kila nikijaribu kulala usingizi unanisaliti
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi tukae kikao kesho kwasasa maji yameisha [emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] nshameza mate kabisa maana nakuaminia.Mna roho mbaya,ila mie sio kama nyie subirini vipoe vinakuja.[emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh asee kumbe wewe ni lightweight [emoji23]Saa 9 kasoro 7 hii ... hahaa Aisee nikiwaiga nyinyi tembo Mimi fisi nitachanika msamba .... kwa herini usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapi... madada wa mjini wakikuacha hawa kubali matokeo ..ukiendelea kumfuata fuata hakawii kukupigia kelele za mwizi mbele ya kadamnasi .. waweza kukuta amepata li sponcer huko ..wewe unazidi kumganda tu anaona kwamba unambania riziki (wenyewe huwa wanasema usini haribie ugali wangu ) so ukiendelea kumganda anakupigia kelele za mwizi kweli mkuuUnakubalije kuachwa bablai? Kuwa king'ang'anizi